Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh, ata yeye ananichukulia kawaida sana .. Nadhani yeye ndio ananizibia rizki
Good.. mimi sina shida hapo. Ila broh.
Kama umri wako unarange 15-21 ruhusa kuwa na mpenzi wa aina hiyo! But kama una 22 kuendelea achana nae huo ni muda wa kijana hasa wa kiume kuipamba future yake..
Kama unaona hakuna mapenzi ya dhati kati yenu mnaunganishwa na kufanya ngono tu. Temana nae.. huo ni muda wa kua na mpenzi (sio demu) wa malengo nae ambae mnaweza mkakaa chini na kupanga mambo fulani yakasonga!

Hata kama hamtafika lengo la kuishi milele ila ni vizuri zaidi kua na mtu ambae una commitment nae si unajua Penye wawili wenye visión moja hakiharibiki kitu..!
Kaa chini fikiria faida ya huyo demu wako, hafu angalia future yako kijana
 
Ok mkuu Nina 21, Asante kwa ushauri kuanzia 2021 nitafanya ivo
 
Atoto nimekumith
1574629152618.jpeg
 
huo mstari huwezi kuwapata wadada wa humu unazingua bana...wa humu ndio hao hao tupo nao mtaani kila siku.
Mimi mbona siko upande huo..! Hua napenda kuwasilisha tu mawazo yangu kama mada itakua imenigusa. Hua siangalii jinsia.. Hata nikiwatetea nina uhakika asilimia 120% siwezi kuwapata au kuwamudu madada wa humu.

Sina sifa ya uchomoa betri wala ubaharia..I'm just the dump one
 
Back
Top Bottom