Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu kuku ni kienyeji au broiler? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
broiller wa nini mie πŸ˜…πŸ˜… nakula vya kienyeji tu.. pure kienyeji nameza hata mifupa.. hapa badae napiga matunda mixer nazi na mihogo naunda mabao tuubπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
My dear unajua nilivo alone juzi nimeumwa nusu kufa pekeyangu chumbani ningepata wa kuangalia nae game hivo si ningenenepa nduguyako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani ningecheza amapiano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sumbai unafeli wapi mzee? Mpaka unamuacha Aaliyah anaangalia soka peke ake aisee?

Pole Sana hope unaendelea vizuri mtoto mzuri.
 
My dear unajua nilivo alone juzi nimeumwa nusu kufa pekeyangu chumbani ningepata wa kuangalia nae game hivo si ningenenepa nduguyako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani ningecheza amapiano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unajua kucheza amapiano?
 
Muongo wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu aunt siku mtaniacha nakufa mkajua utani πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Dawahizo zingine nimemaliza nimekunywa dawa kama sio mm muoga chezea kufa wewπŸ˜‚πŸ˜‚
Umeme ukakatika saa nane na homa Kali nililia balaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nyie
Sijaenda job wiki nzima hii Aunt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…