Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaringa sana, dawa ukipata angle ya kumkazia, unakaza kweli
 
Wanajua wadada wote wana hela za kucheza .

ni kama ukienda kariakoo wakiona tu unazunguka wanakufuata kukueleza baada ya hapo uwape ya soda
Washajua pia ni Wavivu wa kubargain, wengine wapenda short cut. Wanatuponza na sie ma hard core πŸ˜‚πŸ˜‚


Au stand. Pale stand kubwa uwa nachukia sana, muda mwingine mtu unatembea unaelekea dukani. Ila wapiga debe mabus washakufata.
Sawa wanatafuta ridhiki, lakini wengine unakuta hajakaa kimkao wa kusafiri ila kumzonga sasa πŸ™Œ
 
Wanakera vibaya mno πŸ™Œ
 
Ah wanazonga sana aisee
yaani mtu umeenda kununua kigauni chako kimoja lakini unavyofatwa , tukupeleke wapi πŸ˜‚πŸ˜‚.

hao wa stendi , wanakera kila saa dada wapi hiyo Tanga , morogoro au dodoma . kero tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…