Selfika na JF: Snap it. Show it

Mchuzi wake sio mzito wala nn hayo ma pressure cooker
Manual pressure cooker ni sufuria tu lile kama sufuria la kawaida. Maana linawekwa gas/ mkaa

Electric cooker maybe ndio inapooza kimtindo. Harage halichangamki sana kama la sufuria
 
Manual pressure cooker ni sufuria tu lile kama sufuria la kawaida. Maana linawekwa gas/ mkaa

Electric cooker maybe ndio inapooza kimtindo. Harage halichangamki sana kama la sufuria
As long as kuna presure kwenye protein basi sio tamu,, mfano kuna utofauti mkubwa wa ladha kwenye brisket na nyama ingine yeyote,, utamu wa protein yeyote ipikwe taratibu bhana[emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…