Amka ukafue πNililala saa tatu nimekuja kushituka saa nane na usingizi umekata. Kulala mapema sio ishu kabisa π
Basi uje kula mihogo pakikucha vizuri πSijala ππ
Nipomaliza kula zile korosho, nikaanza kama kusinzia. Nikahamia kitandani, nikasema nitaamka kuangalia jua kali.
Wapii ndio naamka sahivi π
Nimeamka tena. Nimemiss mihogo πBasi uje kula mihogo pakikucha vizuri π
Ila kuna raha flani hivi unapata ukilala mapema!π
Windshield ina crake. Ngoja nimtonye traffic wa mbele hapo awadake π
Captured with Google Piii ππZa Asubuhi, Majirani zangu.
View attachment 2628358
Umbea tu! π
πππ umbea usioumiza ni tibaUmbea tu! π
Limao za nini kwenye mihogobreakfast......
View attachment 2628367
Wakishua hawali mihogo weweπLimao za nini kwenye mihogo
Weka chachandu hapo wakishua
Najua ukimaliza hapo una kiporo cha biriani kinakungojaWakishua hawali mihogo weweπ
Vitu napendaga πbreakfast......
View attachment 2628367
Huogopi kitambi??Vitu napendaga π
Cha wali arageπNajua ukimaliza hapo una kiporo cha biriani kinakungoja