Hahhaa nishaaamka mimi...vipi weweBasi sawa. Vipi umeamkaa leo??
Humu nyie wakubwaa tuMakofi tafdhaliView attachment 1271828
Makofi tafdhaliView attachment 1271828
Aliyesema JF haina wadada wa hajjja tunamfunga miaka 12 jela, viboko 6 siku akiingia, viboko 6 siku ya kutoka.
Watu wa kwa browser
[emoji2][emoji2]kwanini umesave sasa lakini??
Humu nyie wakubwaa tu
Nini mbaya mkwe?Mkwe leo sipo vizuri
We kua kwanza, utakuwa mkwe kwa wanangu wengine.hao wote wangu na nina mpango wa kuongeza wengine angalau wafike 20
Hivi mnaoweka pic zenu halafu mnafuta mnatufikiriaje sisi tunaokua offline??[emoji32].. Mtu unafungua uzi unakutana na pic inasifiwa balaa ukiifungua unakuta imefutwa... Msifanye hivo jamani. [emoji27]View attachment 1271853

我的妈呀![emoji33][emoji33] 你们会说中文吗?[emoji122][emoji122]
在这里他们都可能明白吗?[emoji23][emoji23]