Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
Kipindi hicho wanaita mahakama ya simu😂😂 Tengeru walimkomaza
Ndio maana anapachukia
Kipindi hicho wanaita mahakama ya simu😂😂 Tengeru walimkomaza
Ndio maana anapachukia
Usijareee babuu nitamkumbushaaa! Shida Warembo wakareee wanazaliwa kila leooooo! Patamu hapoo😄Misisitize Mjeshi kuwa kule Sudan kuna warembo wakali wa Kihabeshi lakini akumbuke kujilinda 🙈🏃♂️🏃♂️🏃♂️
ningefundisha history....Kwamba Ilboru pale wanasoma na mambo ya karoti?
Atakipata anachokitafuta😬😁😁Starehe yake hiyo..
3per week
Ila kwa kuwa ulitaka vifungu vya sheria sawa, komaa 😂😂😂ningefundisha history....
sio poa seminari huko....😂😂 Tengeru walimkomaza
Ndio maana anapachukia
Vyote mi nashindwa........🤓🤓🤓🤓🤓Hahahaha...............kama unaweza kumuona mrembo kwenye picha na ukafika kibo kwanini ushindwe kula Pipi na maganda 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
NakaziaKheee ndio kula na kutokushiba sasa. Lazima heka heka ziwe nyingi.
ugari mtamu babuu.. hao warembo wabaki na urembo wao tuNi kweli Mkuu, ingawa kuna warembo wengine wanashawishi mno hadi kujikuta unasahau Kiapo kwa muda 😜
That is great dear🥰Nime donate BLOOD tu aisee 😂 😂 😂
Kwa Umri wangu wa Uzee hata huko kuuza mechi imekuwa vigumu sana, maana Jogoo mwenyewe kuwika ni mwaka hadi Mwaka 🙊Kwa nini unajipima mara kwa mara unauza mechi au uliyenae humuamini?
Eti anabisha kweli huyo ni KorofiWe korofi sana ndio maana wanakuita mmeru😂
Hahaha......................ukiweza kuji control kiasi chako utakuwa umefanikiwa sana. Wengi wanashindwa 🙌ugari mtamu babuu.. hao warembo wabaki na urembo wao tu
HahahahahahaaaShemeji yake na Satoh Hirosh huyo kwa Lenie