Hahaha...........huo ni uchokozi Mkuu ππββοΈπββοΈWee umezidi yaan π€π€π€
Kila kipimo ni grahams duuh
Acha izo hebu niji photoe hapa kwenyeNjoo tena
Mbona kama sijaelewa π€£
Emu katume bobo nije niwapostie wamuone Mazziyah De Mazijay
Umewahi fika tengeru?tengeru pa hovyo sana π
Woow π₯°Miss you too ile anniversary yangu imeisha jana aisee π
Unashawishi ila kwa mimi hapana...Hahaha...........huo ni uchokozi Mkuu ππββοΈπββοΈ
Ndio soko gani zuri tuhamienamaanisha soko sio eneo lenyeweπ
Ukiwa unajali afya yako . automatic unakuwa hata na uoga wa kuvagaa majitu majitu.. toka nimekuwa na tabia ya kupima nimekuwa muoga kuliko kunguruView attachment 2627715
Wanasema hata Sisi Wazee tupo kwenye hatari pamoja na kuwa Jogoo hawiki kutwa mara 3 kama Vijana ππββοΈπ
Kila mmoja amlinde mwenzake hata kama kutoka Mji ulipo na alipo yeye pana umbali wa kilomita 1,000
Zero HIV inaanza na Mimi/Wewe
Hahaha.........nawakumbusha Vijana kuchukua Tafadhali, alafu na vile Mjeshi bado yupo Darfur kule Sudani muhimu umkumbushe naye kupima πWee babu mbona huwa unatupia vipimo sana humuu kwanii hongera sana upo vizureeeππππ€£π€£π€£!!
Safi hiooo π€£π€£π€£!
nimesoma pale miaka 4 na nimeisha kwa ndugu pale....Umewahi fika tengeru?
Watu wana stress za maisha ndugu, so wanakuja kuzimalizia hukumbona ghafla sana π€£π€£View attachment 2627756
mimi mchaga jamani πNdio wakina mshamba_hachekwi hao
Hahahaha..............wanasema usimpime kwa macho, na pipi unaweza kuila na maganda bado ukahisi utamu tu πββοΈπββοΈUnashawishi ila kwa mimi hapana...
Hayo mambo fanyeni nyie . Sitaki kujipa presha ndogo ndogo...π€π€π€
Kheee ndio kula na kutokushiba sasa. Lazima heka heka ziwe nyingi.Watu wana stress za maisha ndugu, so wanakuja kuzimalizia huku
Nilitaka kumuuliza hivyo ila nikasita nisionekane nachunguza maisha ya mtu π€·πΌββοΈWee babu mbona huwa unatupia vipimo sana humuu kwanii hongera sana upo vizureeeππππ€£π€£π€£!!
Safi hiooo π€£π€£π€£!
Shule au chuo gani palenimesoma pale miaka 4 na nimeisha kwa ndugu pale....
Ni kweli Mkuu, ingawa kuna warembo wengine wanashawishi mno hadi kujikuta unasahau Kiapo kwa muda πUkiwa unajali afya yako . automatic unakuwa hata na uoga wa kuvagaa majitu majitu.. toka nimekuwa na tabia ya kupima nimekuwa muoga kuliko kunguru
π€π€π€π€ Hayo mambo yanahitaji moyo..Hahahaha..............wanasema usimpime kwa macho, na pipi unaweza kuila na maganda bado ukahisi utamu tu πββοΈπββοΈ
Sawa ushauri wako ni muhimu kwetuAsante Mjukuu, ninyi vijana pia mjifunze kwa sisi Wazee π