Ni wewe tuuView attachment 2627715
Wanasema hata Sisi Wazee tupo kwenye hatari pamoja na kuwa Jogoo hawiki kutwa mara 3 kama Vijana 🙊🏃♂️🏃
Kila mmoja amlinde mwenzake hata kama kutoka Mji ulipo na alipo yeye pana umbali wa kilomita 1,000
Zero HIV inaanza na Mimi/Wewe
Pamoja sana Santos06 💪💪
sawa sawa 😅Futa hiyo post haijakaa sawa dogo
😂😂Nilikua naipenda ya bei chee ila vitu vipyaa
Yaani huyo amekuwa affected na porn filmsMmh totoo, hii lugha humu sio poa
Aleikum Salaam Mjukuu,Babu Grahams naona kivuli chakooo granpa popote ulipo nakusamilia samalekooooo ✋!!
Vipi leo hauna ka selfii ka 1st born wako??🤔😄
MazziyahYaani huyo amekuwa affected ni porn films
Sisi Wazee hatuna hofu sana kama nyie Vijana 🤗Ni wewe tuu
Good boy
Kule ni sokoni tu😂😂, Tengeru kwa wameru huko😂😂
Gorgeous 😍
Totoo mshamba_hachekwi em tuonyesheKwanza atuonyeshe huto turaba twake twa Krokoni 🤣🤣🤣
Niite Ngoshi Wane mbona hauelewi wewe ?? 😂😂😂Mazziyah
mi mwanachuo malapa kwa sana 😅Totoo mshamba_hachekwi em tuonyeshe
Hongera mkuu kwa kujali Afya yakoView attachment 2627715
Wanasema hata Sisi Wazee tupo kwenye hatari pamoja na kuwa Jogoo hawiki kutwa mara 3 kama Vijana 🙊🏃♂️🏃
Kila mmoja amlinde mwenzake hata kama kutoka Mji ulipo na alipo yeye pana umbali wa kilomita 1,000
Zero HIV inaanza na Mimi/Wewe
Wale wameru bonyeza parachichi uone kama hajakutimua wewe na tuhela twakoKule ni sokoni tu😂😂, Tengeru kwa wameru huko😂😂
Hongera sana kukumbuka kucheki afya babuu mie hata sikumbuki mara ya mwisho nilipima lini lol!!View attachment 2627715