Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,256
- 183,153
Wee babu mbona huwa unatupia vipimo sana humuu kwanii hongera sana upo vizureeešššš¤£š¤£š¤£!!Sisi Wazee hatuna hofu sana kama nyie Vijana š¤
Safi hiooo š¤£š¤£š¤£!
Wee babu mbona huwa unatupia vipimo sana humuu kwanii hongera sana upo vizureeešššš¤£š¤£š¤£!!Sisi Wazee hatuna hofu sana kama nyie Vijana š¤
Asante Mjukuu, ninyi vijana pia mjifunze kwa sisi Wazee šHongera mkuu kwa kujali Afya yako
Wee umezidi yaan š¤š¤š¤Sisi Wazee hatuna hofu sana kama nyie Vijana š¤
ššš jina lake la ubatizo ilo. Lakini analikataa balaa
tengeru pa hovyo sana š
Alafu nataka nikupe kitengo aiseee nikiji selfie nakupostia halafu wewe unazipost hapa šššSelfika kwanza ndio nitakuita
Walakum msalamAsalaam aleykum ?
namaanisha soko sio eneo lenyewešWapi pazuri tuhamie šš
Asante Mjukuu, wanasema afya njema ni mtaji wa kwanza kabla hujapata mabilioni.Hongera sana kukumbuka kucheki afya babuu mie hata sikumbuki mara ya mwisho nilipima lini lol!!
Kucheki afya ni muhimu sana!!āļøāļø
Wameru ni wakali jamanišWale wameru bonyeza parachichi uone kama hajakutimua wewe na tuhela twako
Jumaa Mubarak šWalakum msalam
Mbishi sana tatizo lake šššš jina lake la ubatizo ilo. Lakini analikataa balaa
Njoo tenaAlafu nataka nikupe kitengo aiseee nikiji selfie nakupostia halafu wewe unazipost hapa ššš
Ni msukuma ujue š¤£Mbishi sana tatizo lake š
Anataka ashawishi kina sie et.. khaaaWee babu mbona huwa unatupia vipimo sana humuu kwanii hongera sana upo vizureeešššš¤£š¤£š¤£!!
Safi hiooo š¤£š¤£š¤£!
Nawe pia mpendwaJumaa Mubarak š
Eendiwoooooooo babuuu asante kwa kutukumbushaa!!Asante Mjukuu, wanasema afya njema ni mtaji wa kwanza kabla hujapata mabilioni.
Muhimu kujitunza š¤