Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Umri huo ushakuwa mtu mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann??
Yahitajika kama hujaolewa uwe na stable partner , usihangaike kama kuku .
Pia ke sie uzuri unaenda umri , ulivyo 20 mrembo haitakuwa hivyo ukiwa 30 .
Muda ni mchache hivyo kwenye fertility , uko likely kuproduce eggs nyingi kwa 20 hadi 30's baada ya hapo wanasema kizazi kinasogea .