Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,271
Naomba mpishi aselfikee
Linaonekana tamu hilo! 🤤🤤🤤Nyama imetuliaaa 😋😍😍 naja fastaaa na kontena la matikiti 😂😂View attachment 2626956
yaani unaamini kabisa naweza kupika vizuri hivyo??Naomba mpishi aselfikee
Hiv weekend inaanza kesho eehAsante nimeyapokea
Ugonjwa wangu huu AiseeeNyama imetuliaaa 😋😍😍 naja fastaaa na kontena la matikiti 😂😂View attachment 2626956
Eeh kesho MkuuHiv weekend inaanza kesho eeh
Ile outing sasa n ya hii weekendEeh kesho Mkuu
You serious ??Ile outing sasa n ya hii weekend
Nione vile utauma Uma kucha😂
Nikikumata, nani kakuambia u dislike comments zanguCaptain natamani nikukamate nikunase mabao
So kwa kubembeleza huku![]()
Mazoezi gani umekusudia mkuuAmkeni tufanye mazoezi
CombatMazoezi gani umekusudia mkuu
Imeisha hiyoCombat
We ulijua zoezi la asubuhi?Imeisha hiyo
Nilijua ni combat tu😂😂We ulijua zoezi la adubuhi?
We. Kweli Great thinker, umenishtukia,HahahahaNilijua ni combat tu😂😂
Naona bado wanaendelea kuvuta shuka tuWe. Kweli Great thinker, umenishtukia,Hahahaha
Ni kuwamwagia maji tuNaona bado wanaendelea kuvuta shuka tu
Sijui uwaamshe mmoja mmoja
Ni kuwamwagia maji tuNaona bado wanaendelea kuvuta shuka tu
Sijui uwaamshe mmoja mmoja