Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,819
MmmmmhHatuwapangi hats 😂😂😂
MmmmmhHatuwapangi hats 😂😂😂
Akina nani tena hao jamani wanatupiamo madushe yao? 😳Halafu wanahisi ukiyaona madude yao sijui unakuwaje LA sivyo wasingekuwa wanayatuma 😂😂
SafiHabari yako
Mie Nasubiri zako na za bibie Bantu Ladyusser nasubiria blessings zako hapaaa do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz ☺️!
Mie shabiki damuuuuuu Naachaje kujuaa weeeeeeeehh!!Nani kakusaidia? 🤣🤣
Watu wa asili ya AsiaAkina nani tena hao jamani wanatupiamo madushe yao? 😳
Haya kipa wa Yanga anaitwa nani aliyecheza jana?Mie shabiki damuuuuuu Naachaje kujuaa weeeeeeeehh!!
Kumbee leo nimepata jibu sasaWatu wa asili ya Asia
Sana sana wahindi ,
Hujamuomba wala nn , kitu kashattuma
Diaraaaaaaaaa💛💚🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤗Haya kipa wa Yanga anaitwa nani aliyecheza jana?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂JamanAu unapigiwa videocall akiwa na mpenzi wake mpya wanakuzomea
VyemaKumbee leo nimepata jibu sasa
Haa haa haa best mwili huu haunaYanii... mapema sana tunauaa mtuuu!!
Halafu najua Saivi umeshanenepamo best hebu fanya wepesi unibless kwanzaaa kitrambo sanaa☺️
Najuaa umeshanenepaaa mpakaa basiiiiii. Haya nasubiria hapa zikujee zikujee😁😁😁😁😁Haaa haaa uwiii Niko hapa ngoja zijeeee
Vizuri MkuuSafi
Hahahaaa..huo ndo mzureee hauzeeki mapemaHaa haa haa best mwili huu hauna
Kunenepa n kama nilinyimwa excess meat
Poa Mayelle ana magoli mangapi mpaka sasa kwenye Shirikisho?Diaraaaaaaaaa💛💚🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤗
Magoli Sitraaaaa assist tratuuu🕺💪💚💛Poa Mayelle ana magoli mangapi mpaka sasa kwenye Shirikisho?
Kuna manzi mmoja nilikuwa nikishika simu yake kwenye fb alikuwa na urafiki na hao Wahindi daaah! Kumbe alikuwa anaangalia madushe yao 🤔 hata akaunti zake za zamani Wahindi walikuwa hawakosiVyema
Mfano huko telegram
Ukijiunga tu groups wakiona kapicha kakike hao .
Najiungaga sana groups za movie huko , English clubs etc
Hata hivyo telegram sio poa kabisa .