Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,365
- 176,191
Nani? Niko mwenyewe na blanketi langu mimi!!!Msalimie![]()
Nani? Niko mwenyewe na blanketi langu mimi!!!Msalimie![]()
Picha zinaeditiwa mkuu, shauri yakoo
Nani? Niko mwenyewe na blanketi langu mimi!!!
kama umewahi kukutana nao sawa unaweza ukahukumu lakini kama unaamin picha zao unaweza ukajikuta wewe ndo uchapwe hizo bakoraAliyesema JF haina wadada wa hajjja tunamfunga miaka 12 jela, viboko 6 siku akiingia, viboko 6 siku ya kutoka.
Usifute bwana, hivyo vitu adimu vinatakiwa vikae humu kutusafishia macho.Atoto wewee![]()
wake ni mimi the annointed one
Usiku mwema, msalimie auntie.Ujue hata mimi walivyoniambia nimeota kitambi, nilibisha. Baadae kujicheki vizuri kumbe kimeanza bana. Punchline is, ni ngumu kuji-judge fairly.
nimemchora karma wangu kwenye mawazo yangu, upo kama mwanamke mmoja smart sana mwenye asili ya kishombeshombe.Pia kuna wakaka wazuri mno kama wewe hapo
Shemeghi...
Mungu wangu umesave za nini eti??
Mbona mchokozi lakini?
Aimennnn
Wewe Umefanya yako na sijalilia mtu akii
Anatusingizia jamani kakaMbona mchokozi lakini?
Watu wa kwa browserEri nani anataka Tuachane?
Mmh, huo uaminifu ni kwanini mkuu, picha na uhalisia ni tofautii kabisa,I'm telling yal.Aaaah wapi wewe sijawahi kua na shaka na wewe bana...
Siri za ndani hazisemwi hadharanii... Mama alinifunza hivyo jamaniYepi hayo weka hapa mkwe aone