Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Mie niko na wivuuuNdio mpenzi
Vizuri vinatakiwa kuliwa na wengi
Mie niko na wivuuuNdio mpenzi
Vizuri vinatakiwa kuliwa na wengi
Huyo mwenye nywele kama yeye vileeeeee[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]Ndiwooo
Hapana jamaniiAcha uoga. Nawapenda wote equally
Zangu sio kama zakeHuyo mwenye nywele kama yeye vileeeeee[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Itakua uliniona nikiwa form one labda, English figure?[emoji3]Memory zangu zinaniambia una english figure
Mambo Eli!Ewaaaa[emoji8]
Nilikuwa nakupa tu presha.
Nimekuona mwaka 2019 mwezi wa 10Itakua uliniona nikiwa form one labda, English figure?[emoji3]
Watu wazima tushaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41] late dinner
Ila zinafanana na za huyo sio ?Zangu sio kama zake
Uhodarii si unaonyeshwa kwa vitendo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] hamnaga njia nyingine
Si unaweka na kuzifuta
Shukrani..umesahau pia kuna walevi wazuri mnoo[emoji16][emoji481]
Nani? Niko mwenyewe na blanketi langu mimi!!!
Nitaku upgrade uwe bi mkubwa. Wengi wote watakuwa wanapokea orders toka kwakoMie niko na wivuuu
nimemchora karma wangu kwenye mawazo yangu, upo kama mwanamke mmoja smart sana mwenye asili ya kishombeshombe.
Picha zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anza kujitaja