Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaaaaan upweke tatzo kubwa tena
Zaid Ila sasa unatafta wakutoana upweke
Badala yake unakuta umeita pressure
Ndo tatzo zaid vijana wengi me/ke
Wote n shida kila mmoja anavutia Ngoma upande wake
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Et kuita presha
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Et kuita presha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eeeeh sasa unataka kutolewa upweke badala yake unatundikiwa drip la presha πŸ˜‚πŸ˜‚

Unarud nyumban 5pm
Inabid unazurura bila mpango
Ili urud 10pm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eeeeh sasa unataka kutolewa upweke badala yake unatundikiwa drip la presha πŸ˜‚πŸ˜‚

Unarud nyumban 5pm
Inabid unazurura bila mpango
Ili urud 10pm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€πŸ˜€Ila maisha hayo fairπŸ˜‚πŸ˜‚
 
A good example is job , baada ya kupata majaribu yote Yale hakukata tamaa ,aliweka Tumaini kwake Mungu . despite any situation you're facing God is bigger.
Zaburi 23:4
Nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti , sitaogopa mbaya
nikifika 27 huko ntaanza kuwaza kuhusu watotoπŸ˜… wacha nile bata
 
Yaaaaan upweke tatzo kubwa tena
Zaid Ila sasa unatafta wakutoana upweke
Badala yake unakuta umeita pressure
Ndo tatzo zaid vijana wengi me/ke
Wote n shida kila mmoja anavutia Ngoma upande wake
Upweke mbaya sana , maana uzee huko ni kukaa , kulea wajukuu ,kwend vikao etc .

Imagine having a boring life , no one to talk to .
Halafu health decline as you age

Maisha haya msijibane , ndoa ngumu lakini nyie kama me mliumbwa kuwa kichwa na si vinginevyo .
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Ingekua tukifka ndan mambo yanaendela kua hiv na Iman kila mmoja angekua
Kwenye ndoa na zingedumu sana
Simameni nafasi yenu , unajua ukishaanza kusema ndoa ni ngumu sijui vile .. Tayari umeweka hofu ndani yako . . akili yetu iko programmed ukiiambia hivi nayi inashika hivyo hivyo .
 
nikifika 27 huko ntaanza kuwaza kuhusu watotoπŸ˜… wacha nile bata
Hehheee kumbe πŸ˜‚πŸ˜‚
wakati nipo early twenties uniambie mambo hayo sikuelewi , ukifika hapo mid 20's akili inakusnitch , unahitaji kuwa na mtu . ukieendelea late 20's hapo ndo kabisa unatamani ndoa tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
saivi wacha niruke ruke ili nikija kuoa nisiwaze kucheat πŸ˜‚
 
Hehhee kwamba utakuwa mwaminifu .
Walioa ndo wapo vizuri kucheat inasemakana wanawake wengi hujiachia baada ya ndoa .
kama kwenye game hatoi ushirikiano .. Wengine wanahamisha upendo kwa watoto
ndoa ni fumbo gumu sana aisee πŸ˜…
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…