Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,241
- 183,120
Ankoli akee Nakugawaa buree ujuee!!Weeeee, tema mate chini sura ngumu uitolee wapi ww unajua wadada wenye sura ngumu ww
Hata hapa chuoni kwangu nikikurank utakuwa wa 1 mwenye sura nzuri,
Hapa jf ndo usiseme sasa, nimeona wadada wengi humu ndani ila sijaona wa kufikia sura yako, nasema ukweli wa moyoni, auntiee sura ya kitoto kabisa hiyo. 😆☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
Naona unajichetua tu 😅😅😅😅😅😅
Wee nijaze tu mi si umeniona bibi yakoo😂😂😊😊!
Wee Wazuri huwaoni!! ?? Ankoli Umeanza kuzeeka huoni vizuri eeh😉!!