YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Hahaha, natania banaSijawahi kujihisi Kwa suala Hilo offcourse sijawahi fanyiwa kitu kama icho, lakini sijui why nimejisikia vibaya Kwa ilo sorry kama nimekukwaza Kwa ilo
Ila hawa watu ntawaumbua tu, siwezi kuwakingia kifua kabisa,
Mtu akitaka vitu vixuri, sharti avipambanie
Maana,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, 😉😉😉😉😉 kuna unaniliuu mwingi sana humu