Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha nishasemaga ungekuwaga binti ww, ningeshakuwekea jimbo chap

Sema basi tu ndo ivo tena

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!Humu nishashindwagaa kitrambo mie ankolii siwaweziii๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ!!
Acha nipambane naharee yanguuu hukuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคญ!
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!Humu nishashindwagaa kitrambo mie ankolii siwaweziii๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ!!
Acha nipambane naharee yanguuu hukuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคญ!
Kwa kweli, ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Sema usikae ujiite sura ya baba tena, sipendi kabisa acha wakina nanilii wajiite hivyo ila sio ww,

Sipendi jomoni ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Mwegelo maana yake nini ankoli???
Sura yako inafana na huyu ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡auntie akeee
images (15).jpeg
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Alafu nilikuwa na pichayake ujue ila nilifuta simu yangu Infinix hot 10 Ilikuwa inachemka ni pisi Kali kweli sio utani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mie natumia tecno ina 4 years saivi inakaribia kuripuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค—๐Ÿ˜๐Ÿ˜!! !
 
Thubutruuuuuuuuuu!! Nimfikie hata robo nitrambeeโ˜บ๏ธ!!
Ww auntie unajua ntakutandika fimbo sasa au unanichezea akili tu hapa,

kaone kwanza na mashavu yako, โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ

Mi mpaka niseme hivyo nishafanya comparison nyingi mashavu na uso wenu vinalandana sana 78%
 
Back
Top Bottom