YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
We auntie mtamu jomoni hayo mashavu veepee 😅😅😍😍Mambo ya holiday Yako njiani haya njoo nipe msuko nipendeze na mm kati ya hii miwil View attachment 2624916View attachment 2624917
Antonnia
We auntie mtamu jomoni hayo mashavu veepee 😅😅😍😍Mambo ya holiday Yako njiani haya njoo nipe msuko nipendeze na mm kati ya hii miwil View attachment 2624916View attachment 2624917
Antonnia
Mmmh ya kweli haya, mbona umeficha sura sasa kama si ww😂😂😂Hapana sio mm nimechukua sehemu
Jumamosi nataka nikasuke Naomba misuko mizuri nichague dear!😂😂😂Hapana sio mm nimechukua sehemu
Ushawah suka crochet ya Brazilian ocean yaani utakuwa km mzungu 😂😂Jumamosi nataka nikasuke Naomba misuko mizuri nichague dear!
Nawee tupia utubles ankoli akee basii asubuhi Yangu imepa sana!!Mmmh ya kweli haya, mbona umeficha sura sasa kama si ww
Nimechukua sehemu huko 😀 sio Mimi aunt Nina sura ya baba 😀😀Mmmh ya kweli haya, mbona umeficha sura sasa kama si ww
Crochet Brazilian ocean Ndio vinini hivo kwani navijua sasa😁😁😂😂!Hebu tuone zilivo lolUshawah suka crochet ya Brazilian ocean yaani utakuwa km mzungu 😂😂
Hiyo ya kwanza iko poa.Mambo ya holiday Yako njiani haya njoo nipe msuko nipendeze na mm kati ya hii miwil View attachment 2624916View attachment 2624917
Antonnia
😃😃😃😃😃 Kusema kweli sina auntieeNawee tupia utubles ankoli akee basii asubuhi Yangu imepa sana!!
Jumamosi nataka nikasuke Naomba misuko mizuri nichague dear!
Wanasema Wanawake wenye sura za baba watramuu kinoumaaa 😁😁🤭!!Nimechukua sehemu huko 😀 sio Mimi aunt Nina sura ya baba 😀😀
Shukrani dear pia sijawahi suka hiiHiyo ya kwanza iko poa.
Mmmh, yangu 👁️👁️👁️Nimechukua sehemu huko 😀 sio Mimi aunt Nina sura ya baba 😀😀
Hizo ni passion twist, hazichagui sura kila mtu akisuka anapendeza.Shukrani dear pia sijawahi suka hii
Amependeza ni nzuri...ila na uzuri alonao huyo dada umechangia... Mie sura ngumu hii lol!View attachment 2624920hii ila usiwek hiyo nywele mbele km huhapenda ziache zenyew
Serikali ituangalie itupe kipaumbele 🤣🤣🤣🤣maslay queen tumewaacha parefu sanaWanawake wenye sura za baba watramuu kinoumaaa 😁😁🤭!!
Hizo ni passion twist, hazichagui sura kila mtu akisuka anapendeza. Hiv ni bunda ngap zinapendeza Sina uzoefu nazo
Sawa 😂😂unatak ya Rasta au hata crochetAmependeza ni nzuri...ila na uzuri alonao huyo dada umechangia... Mie sura ngumu hii lol!
Asante dear niwekee mingine Miwili nichague
Kuna malipo zaidi ya haya?? 😁
Weeeee, tema mate chini sura ngumu uitolee wapi ww unajua wadada wenye sura ngumu wwAmependeza ni nzuri...ila na uzuri alonao huyo dada umechangia... Mie sura ngumu hii lol!
Asante dear niwekee mingine Miwili nichague
Ngoja nibadilishe iwe Crochet Saivi nimesuka rasta !Sawa 😂😂unatak ya Rasta au hata crochet