Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
Sio wote nilikosea 🤣🤣🤣hahaha sio watu baliii
Sio wote nilikosea 🤣🤣🤣hahaha sio watu baliii
Kulaa chuma ikooo mnywanii!!!😂😂😂😁Nitafutie ki mwalimu Basi hapo!!
Unajua walimu wanajengaga familia bora Sana mnywani
😅😅😅😅 Ww huna shida na mtu rafiki,Hafai kabisa Mimi langu naomba kabla hajalileta anifate pm tuyamalize kwanza mana Nina presha naweza zimia kwenye Uzi hapahapa sijui mtanibebaje🤣🤣🤣
Hizo fupi fupi zilieneza UTI NA SUPER G KUWA MAKINI USIJE UKAJITIBU KWA LAKI 5 😅😅😅😅 NA GONO ZINGINE HAZINAGA TIBANi mwendo wa fupi fupi mpaka mtoto aining kwenye killing zone
Msamehe kwakweli kama ni kweli atajifunza siku nyingine masomo mema kijana wetu 🤣🤣🤣🤣🤣ila wanaume mbinguni watapasikia kwenye Bomba,🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka kama mazuri auntie angu
A. Kuna watu wanaringia hela za taasisi jamani 😅😅😅😅 daaah asee
B. Walishindwa kujinunulia iphone 14 jmn 😆😆😆😆
C. Au walitegemea yule jamaa ni konde boy kwamba atawafungulia na biashara juu
Duuh asee tushie hapa kwa leo ubuyu mtamu ila angalia usikupe kisukari acha nikajisomeee sasa sitaki sup mimi
hahaha Sasa uniweke kabla ma afisa elimu hawajaanza vurugu zao mnywaniKulaa chuma ikooo mnywanii!!!😂😂😂😁
Anafundisha B/maths binti from Moro..
Mpolee sana and very descent!;
Ajira za juzikati tu hapo
Fupi fupi na actions kwasanaa lol😂😂😁😁!Ni mwendo wa fupi fupi mpaka mtoto aining kwenye killing zone
😀Ila Dah Dunia Haina huruma 🤣🤣😅😅😅😅 Ww huna shida na mtu rafiki,
Mimi na deal na huyu X na crew yake tu
Nyie wengine hamna shida 😉
Aweeh😀Hizo fupi fupi zilieneza UTI NA SUPER G KUWA MAKINI USIJE UKAJITIBU KWA LAKI 5 😅😅😅😅 NA GONO ZINGINE HAZINAGA TIBA
Utuambie mapemaaa tunazika hapahapa au tunasafirishaa😂😂!Hafai kabisa Mimi langu naomba kabla hajalileta anifate pm tuyamalize kwanza mana Nina presha naweza zimia kwenye Uzi hapahapa sijui mtanibebaje🤣🤣🤣
Shenzi wew utaweza wapi mpenda ubuyu kama Antonnia nyie hamna maajabu wenye comment fupifupi ni WA kuogopwa 🤣🤣Ni mwendo wa fupi fupi mpaka mtoto aining kwenye killing zone
Kuna mafile Hata yakiwa unanywea Pepsi big🤣🤣🤣 jamni et lije file umehongwa na mjuba wa jf ist Kwa goli mbiliUtuambie mapemaaa tunazika hapahapa au tunasafirishaa😂😂!
Mi files zangu humu zimejaa kama zoutreeee mbona since miaka hiooo 😁😁😁😂😂! Muulize ye34nbe hata juzi alifukua file Langu la 2017 huko hata hujazaliwa humu 😁😁😁😂!
Weee ankoli kumbe mnapeana IPhone na hamniambii😁😁😂! Sujapentaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka kama mazuri auntie angu
A. Kuna watu wanaringia hela za taasisi jamani 😅😅😅😅 daaah asee
B. Walishindwa kujinunulia iphone 14 jmn 😆😆😆😆
C. Au walitegemea yule jamaa ni konde boy kwamba atawafungulia na biashara juu
Duuh asee tushie hapa kwa leo ubuyu mtamu ila angalia usikupe kisukari acha nikajisomeee sasa sitaki sup mimi
🤣🤣🤣🤣Nikiwa na x humu nitaomba tuyamalize kabla msiba haujanifika Kwa shambulio la aibu wew mafile Yako hayatishi alafu mtoto mkali hakuna pakuanzia sie wenye visogo likija file kinaanza kuchambuliwa kisogo had file likija mezani umekufwa aaaaa🤣🤣🤣🤣Utuambie mapemaaa tunazika hapahapa au tunasafirishaa😂😂!
Mi files zangu humu zimejaa kama zoutreeee mbona since miaka hiooo 😁😁😁😂😂! Muulize ye34nbe hata juzi alifukua file Langu la 2017 huko hata hujazaliwa humu 😁😁😁😂!
Weweweweweweweweweweww nivile Mie kichwa ngumu tyuuu nina files kama zotree🤣🤣🤣!🤣🤣🤣🤣Nikiwa na x humu nitaomba tuyamalize kabla msiba haujanifika Kwa shambulio la aibu wew mafile Yako hayatishi alafu mtoto mkali hakuna pakuanzia sie wenye visogo likija file kinaanza kuchambuliwa kisogo had file likija mezani umekufwa aaaaa🤣🤣🤣🤣
.Weee ankoli kumbe mnapeana IPhone na hamniambii😁😁😂! Sujapentaaa🤣
😂😂😂🤣🤣🤣🤣!Ukiona hivoo Kimbiaaa fastaaaa🤭🤭🤣🤣🤣!Shenzi wew utaweza wapi mpenda ubuyu kama Antonnia nyie hamna maajabu wenye comment fupifupi ni WA kuogopwa 🤣🤣
Usiku mwema dear😂😂😂🤣🤣🤣🤣!Ukiona hivoo Kimbiaaa fastaaaa🤭🤭🤣🤣🤣!
Hebu Nikarare kwanzaa ubuyu utanitoa rohoo!!