Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Unamchekea nani hapa,, nimekununia mno mimi..
Auntie ni wa Heaven Sent huo, leo nimemfuma nikampiga picha.
@Heaven Sent hebu ukujee
hao wote wangu na nina mpango wa kuongeza wengine angalau wafike 20
Dada siku ambayo utaweka picha yako naomba uni tag mpendwa.Mbona mnaninyasanyasa jamani
Mmmh, wapi huko huenda umenifananisha?Nimekuona mwaka 2019 mwezi wa 10
Dada siku ambayo utaweka picha yako naomba uni tag mpendwa.
Leo tunaenda kulewa wapi?
Kwa kweli unanitia nguvu ya kupost
Najua umenimiss SanaUnamchekea nani hapa,, nimekununia mno mimi..


.Mmhh
Congratulations lady..View attachment 1271551
Mama kijaa mie katika ulez
View attachment 1271551
Mama kijaa mie katika ulez
acha uchoyo. Hutaki na wenzako waonje ukwaju ?Weee thubutuu
Inawezekana nimekufananisha kweliMmmh, wapi huko huenda umenifananisha?
Mtoto wapi nina wajukuu na vitukuu
what Karmauwii you boy
Ni poa tu financial services, tupo tunajivunia mawaridi ya jf.Mambo Eli!