Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Good woman auntiee 🎉💐💐 chukua maua yako , acha wale maniniliu waendelee kupigwa mtungo na kupewa ahadi feki kila kukicha 😃😃😃😃😃

Anaenda bar Anajifanya kalewa, kina gongwa weeee anajikuta kazima data duuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂Ila wew mpana kama Dela la kisomali 😂😂😂
 
Good woman auntiee 🎉💐💐 chukua maua yako , acha wale maniniliu waendelee kupigwa mtungo na kupewa ahadi feki kila kukicha 😃😃😃😃😃

Anaenda bar Anajifanya kalewa, kina gongwa weeee anajikuta kazima data duuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Fungua code banaa auntie hapo umeniacha kabisa!!

Kwa umri wangu huu nimeshaona nakupitia mengi sana auntie !
Nitachanganywa navitu vingine ila sio Mapenzi aisee!!
 
Sasa mwanaume anaandka magazeti hafai wa comment fupifupi ndo mpango 🤣🤣🤣🤣
Au sio mkuuu, haaa tena sisi wa magazeti in real life ni ma introverts wa kutupwa sema humu tunajimwagaga tu maana hamna effect 🤣🤣🤣

Kwaiyo na ww unataka iPhone 14 sio 😆😆
 
Au sio mkuuu, haaa tena sisi wa magazeti in real life ni ma introverts wa kutupwa sema humu tunajimwagaga tu maana hamna effect 🤣🤣🤣

Kwaiyo na ww unataka iPhone 14 sio 😆😆
Sijawahi hata kumiliki samsung ndo kwanza nipo kwenye Infinix hot 10 iphone14 sijawahi kuona hta Kwa macho😂😂nzionaga kwenye instagram
 
Huyu ankoli Namgawa bureee kwakweli 😂😂😂😂! Aba files zetu wote humu hafaiii kabesssaa😂😂😂😂😂
Hafai kabisa Mimi langu naomba kabla hajalileta anifate pm tuyamalize kwanza mana Nina presha naweza zimia kwenye Uzi hapahapa sijui mtanibebaje🤣🤣🤣
 
Less words more actions mnywanii!! Aaacccccctttttt 😂😂😂😂 kwa sauti ya Ankoli akee 😂😁
🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka kama mazuri auntie angu

A. Kuna watu wanaringia hela za taasisi jamani 😅😅😅😅 daaah asee

B. Walishindwa kujinunulia iphone 14 jmn 😆😆😆😆

C. Au walitegemea yule jamaa ni konde boy kwamba atawafungulia na biashara juu

Duuh asee tushie hapa kwa leo ubuyu mtamu ila angalia usikupe kisukari acha nikajisomeee sasa sitaki sup mimi
 
Back
Top Bottom