Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,008
- 45,722
Nakumiss I'm a bad shooter I will keep missing you ππππHebu niache πππ
Nakumiss I'm a bad shooter I will keep missing you ππππHebu niache πππ
Mimi na kiingereza ndo tulikosana njia ππNakumiss I'm a bad shooter I will keep missing you ππππ
Sijui uni bless PM hiyo siku nyingine?πSinapicha mpya ndugu inshallah nitawabless sikunyingine
Naku kosa kosa sina shabaha na nitaendelea kuku kosa kosa tu πππMimi na kiingereza ndo tulikosana njia ππ
ππππ Kwa kweli "comment fupifupi"πππUna kitu utafika mbali
Hah hahaNaku kosa kosa sina shabaha na nitaendelea kuku kosa kosa tu πππ
Watoto wazuri wanataka wanataka maneno kidogo na pesa mingi mkuuHili neno "comment fupifupi" linanichekeshaga sana π π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sasa mwanaume anaandka magazeti hafai wa comment fupifupi ndo mpango π€£π€£π€£π€£ππππ Kwa kweli "comment fupifupi"
Umeanza lini ukorofi mdogo wangu???π€π€πSinapicha mpya ndugu inshallah nitawabless sikunyingine
EwaaahWatoto wazuri wanataka wanataka maneno kidogo na pesa mingi mkuu
Na Mimi nikimpata Kama huyo simuachii Wew jiwekw nyuma unaitwa kabisa uje unakataa π€£π€£π€£π€£Watoto wazuri wanataka wanataka maneno kidogo na pesa mingi mkuu
Ukiendekeza pesa lazima uwe mtumwa mnywanii!!Watoto wazuri wanataka wanataka maneno kidogo na pesa mingi mkuu
π€£π€£π€£π π π Au sio sema jamaa kawala sana humu, nachekaje hapa kama fala vileWatoto wazuri wanataka wanataka maneno kidogo na pesa mingi mkuu
Sema wewe dearπππ!!Na Mimi nikimpata Kama huyo simuachii Wew jiwekw nyuma unaitwa kabisa uje unakataa π€£π€£π€£π€£
Tatizo mi mzee wa magazeti marefu mnywani!!!Mi nakusogezeaa wee unanirudishia tena mnyama unaniangushaa ujueee ππ€£
ππSema wewe dearπππ!!
Good woman auntiee πππ chukua maua yako , acha wale maniniliu waendelee kupigwa mtungo na kupewa ahadi feki kila kukicha πππππUkiendekeza pesa lazima uwe mtumwa mnywanii!!
Bora niendelee kupambana nashida zangu ila sio kuwa slave wa mapenziππππ!!