and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,987
Am not what you would call a computer techie, sema upo vizuri.Alafu wewe....๐๐๐
Mwanafunzi hamfundishi mwalimu!๐ค
...but anyway, M1 ndo nna namjua vizuri, alikua super smooth ๐ ๐๐พ, so I imagine M2 chip will be double the fun. Japo naona kwenye reviews wanasema kuna vitu viwili vitatu bado anamzidi M2, ila 16-core GPU can give you a lot!
Unaweza kuta Mac ya mwaka 2017 ikawa na perfomance sawa na ya 2020, utofauti ukawa wameboresha battery life/battery perfomance, M chip zipo vizuri kwenye battery perfomance kuliko intel,lakini perfomance Intel is the best.