Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
YaaniSana hasa maeneo yaliyo tambarare na mabondeni ya kuwa nayo makini
Maji kujaa ni dakika sifuri
Unakuta mtu ananunua kiwanja kiangazi
Aloo,muda wa kununua ndio huu wakati wa hizi mvua.
YaaniSana hasa maeneo yaliyo tambarare na mabondeni ya kuwa nayo makini
Bado inasumbua kupanda, platform inakataa , nikiweka nitaku tag sawa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha tu haina madhara
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
AiseeBado inasumbua kupanda, platform inakataa , nikiweka nitaku tag sawa?
Unanionea kuniweka kwenye hio nafasi ya kunyanyasa, baba mtoto je?Aisee
Manyanyaso bado yanaendelea
Kuninyanyasa tu umeweza 🙌
Si umeninyima picha [emoji23]Unanionea kuniweka kwenye hio nafasi ya kunyanyasa, baba mtoto je?
Mi napoelekea no huko huko... AiseeeYaani nimecheka
Hii meme kila nikiiona nacheka
Kwani bado wapo tuuNdugu wajumbe[emoji23]View attachment 2622201
Hio ya kukupa mtoto hata mie naiweza, umesema yupo humu muite hapa akupe picha.Si umeninyima picha [emoji23]
Yeye sio mnyanyasaji,amenipa moto naitwa mama.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mi napoelekea no huko huko... Aiseee
Dah [emoji3064]Hio ya kukupa mtoto hata mie naiweza, umesema yupo humu muite hapa akupe picha.
Wapo wengi [emoji23]Kwani bado wapo tuu
Kesho shule ujue.Dah [emoji3064]
Unataka nilie kilio gani ili unielewe kama nakuomba picha?
Nani anaenda shule?Kesho shule ujue.
Inakataa kupanda niki edit. Naandaa chakula.Nani anaenda shule?
Wewe?
Naomba basi hiyo picha ili nilale.
Naiomba hivyohivyo OGInakataa kupanda niki edit. Naandaa chakula.
Saa unazani tunafanyaje kama njia za kawaida zimeshindikana...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ongeza maombiSaa unazani tunafanyaje kama njia za kawaida zimeshindikana...