Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Mimi ndiyo,ulidhani nani?Mama nani wewe?
Naomba basi picha,umeninyanyasa imetosha.
Mimi ndiyo,ulidhani nani?Mama nani wewe?
Umeanza uongo lini?Mimi ndiyo,ulidhani nani?
Naomba basi picha,umeninyanyasa imetosha.
Lakini pale msimu wa mvua maji yanatuama.Wanasema hapakuwa na shida awali. Ujenzi wa mradi bomba kubwa kutoka basihaya kupeleka maji baharini na bomba lenyewe liakishia mitaa hio bila kufika baharini ndo ilikua chanzo. I guess mwenye hilo eneo alifile kesi na amelipwa tayari
Aisee, kama navomuona bwana dalali alivosawijika vile ulimkosesha hela ya bucket zake kadhaa. 🍺🍺🍺Duh😂
Kuna kiwanja dalali alikuwa na haraka huyo kuharakisha malipo, kwenda kucheck sasa,
Kama Mungu hivi,mvua ilinyesha,, kufika pale kumbe ni mkondo wa maji.
Msimu wa mvua ndo kipindi cha kununua viwanjaDuh😂
Kuna kiwanja dalali alikuwa na haraka huyo kuharakisha malipo, kwenda kucheck sasa,
Kama Mungu hivi,mvua ilinyesha,, kufika pale kumbe ni mkondo wa maji.
Yeah madalali si watu wazuri. 😂😂Lakini pale msimu wa mvua maji yanatuama.
Si umeona kuna wale jamaa wamejenga magorofa upande wa kulia ukiwa unaingia Uninio beach unajua walijaza vifusi ili nyumba zao ziwe juu
Kwanza unajisikiaje kuninyanyasa??Umeanza uongo lini?
Okay thanksOk. Utanicheki ukiwa poa
Unaedit ya nini sasa?Saint Anne nime edit picha message inakuja.
The uploaded file does not have an allowed extension. The following extensions are allowed: .3gp, .aac, .amr, .avi, .bmp, .doc, .docx, .gif, .jpe, .jpeg, .jpg, .m4a, .m4v, .mkv, .mp3, .mp4, .mp4v, .mov, .mpeg, .mpg, .ogg, .ogv, .pdf, .png, .ppt, .pptx, .txt, .wav, .webm, .wmv,
Nitumie nauliUje unisalimie ata siku mooja tu
KabisaMsimu wa mvua ndo kipindi cha kununua viwanja
🤣🤣🤣 na akiona umeshtuka anageuka kuwa engineer anakushauri sijui hapa jenga mtaro maji yapiteYeah madalali si watu wazuri. 😂😂
Asante totoo🥰happy mothers' day shangaziii 😂
Yaani acha tu😂Aisee, kama navomuona bwana dalali alivosawijika vile ulimkosesha hela ya bucket zake kadhaa. 🍺🍺🍺
Mwanao ana umri gani?Kwanza unajisikiaje kuninyanyasa??
Mimi ni mama
Mwanangu na Baba yao wapo humu pia.
Naomba kwanza pichaMwanao ana umri gani?
Nina mke na yupo humu huwa anapita.Unaedit ya nini sasa?
Iweke kama ilivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina mke na yupo humu huwa anapita.
Sana hasa maeneo yaliyo tambarare na mabondeni ya kuwa nayo makiniKabisa
Hasa kwa Daslam.
Sijui ndio ukanda wa chini kumeinama
Yaani nashangaa hadi barabarani maji yanajaa