Sema Babu mjukuu, ungejua ninavyoutamani huo ujana we acha tu. Yaani pamoja na kupaka Piko ya hela nyingi kichwani lakini mvi bado tu haziniishi Babu yenu π€ͺπππ
Kuhusu nyekundu moja, Ngoja nilipe mkopo chefuchefu wa Benki niliokopea mbolea then ikibaki utapata Mjukuu π€