Bado hatujafikia kuwa na wasomi wanaoweza kupambana na soko la nje kwa kiwango cha juu kwasababu watoto wetu bado hawafundishwi ili waelewe, wanakaririshwa ili wafanye vizuri kwenye mitihani.
Wale waliopo kwenye shule za International kweli ndio wenye advantage. Huku kwingine inabidi wazazi tuweke juhudi za nyongeza.🥴