Kwa utamu kwakweli wageni wameipa 💯 ☺️Kwanini hujala 😂😂
Mbona inaonyesha ni tamu 🥰😋
Yan kuna aina za mboga zinatakiwa ziambatane na ugali mkubwa
Wanasema wakati Ukuta, saivi tumebaki kulea wajukuu tu 🤪Dogo nuksi wewe
Hataki kupoteza muda 😀😀😀Dogo ameliamsha ndani ya gari 😄 akifika home ni mwendo wa ⛹️♂️ 🚵 🎮 mpaka sa2 taarifa habari ya ITV itakapoanza 😀
Ndio kusaidiana majukumu kwenyewe huko ⚖️Hongera kuwa mfuatiliaji
Mimi nikishalipa Ada tu huwa nahisi nimemaliza, nguvu zote nahamishia kwenye kutafuta hela 🙌
Ngoja tuone kama nitaweza kuji twist kuendana na wakati
Akifika home ukimshikisha tena kitabu na uhakika lazima akuangalie usoni 😄Hataki kupoteza muda 😀😀😀
Hapo hata akishika vikorokoro vyako sitokuwa na lakusema!!! Labda nimbane kwenye storybook kidogo... .🤓
Atakoma kunijua 😁😁Akifika home ukimshikisha tena kitabu na uhakika lazima akuangalie usoni 😄
Ni kweli, though wangu wako bweni huko.Ndio kusaidiana majukumu kwenyewe huko ⚖️
We unafanya kwa upande wako, mwenzio anafuatilia.
Chamsingi wakiwepo unawa-assist kadri uwezavyo!👊🏾👊🏾Ni kweli, though wangu wako bweni huko.
Wakirudi likizo wanakuwa na holiday Packages ambayo nikitumia weekend mbili tunakuwa tumemaliza kazi zao 🤗
Hakika 🤝Chamsingi wakiwepo unawa-assist kadri uwezavyo!👊🏾👊🏾
Ila huwa wanawachosha sana watoto na ma-holiday package yao 😵😵 Huku alikohamia dogo wanasema huwa hawapewi kazi kipindi cha likizo so I'm looking foward to that!
Hahaha mwendo wa kupiga tuu kufanya window shop...Zote izi umezitembelea we mzeee!
Hahahaa bado mkuu.Folder lako halija-jaa tu mkuu.
Hahaha barber shop ipi Kaka?? Tupeane ramaniWafungie tu!
Sasa hivi nimehamia berbershop.
Watoto wetu wasipo pewa package holiday nzima wanaishia kuangalia cartoon na miziki.Hakika
Homeworks huwa ni too challenging if neither of a parent has gone to schoolunless tuwe na Mwalimu wa Kuwaassist
Ndiyo maana baadhi ya shule huwa na huo utaratibu wa kuto toa hizo Holiday Package ambapo pamoja na sababu nyingine wanaamini Mtoto anahitaji kupumzika wakati wa likizo.
True!!!😆😆😆😆😆Hakika 🤝
Homeworks huwa ni too challenging if neither of a parent has gone to school 🙌 unless tuwe na Mwalimu wa Kuwaassist
Ndiyo maana baadhi ya shule huwa na huo utaratibu wa kuto toa hizo Holiday Package ambapo pamoja na sababu nyingine wanaamini Mtoto anahitaji kupumzika wakati wa likizo.
Sindio maana ya likizo jamani????Watoto wetu wasipo pewa package holiday nzima wanaishia kuangalia cartoon na miziki.
At least kukiwa na package inawafanya two hours in a day wanaperuzi peruzi....
Sema kuna package package nyingine ni kukomoa. MTU mzima inakutoa jasho
Kwasisi tulioishia la darasa la Nne la Mkoloni tunapata tabu sana na hizo homework zao 🤪🏃🏃True!!!😆😆😆😆😆
Sahihi kabisaWatoto wetu wasipo pewa package holiday nzima wanaishia kuangalia cartoon na miziki.
At least kukiwa na package inawafanya two hours in a day wanaperuzi peruzi....
Sema kuna package package nyingine ni kukomoa. MTU mzima inakutoa jasho
Na maswali ya siku hizi.Sahihi kabisa
Mfano mtoto yupo Class 5, basi homework yake anapewa maswali ya class 6.
Sasa unajiuliza, yaani pamoja na kumlipia Ada yote hii mtoto bado, wanataka niwasaidie na kumfundisha masomo ya class 6 jameni.
It is unfair kabisa