Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utabuka mdomo usipende kula wanga na protini
we endelea na hii michezo yako
lips.jpg
 
unyama sana viporo ndo vinatusave wanachuo 😂
Kumbe uko Chuo saivi? Hongera sana

Ukipata boom la field mwezi Ujao, nunua debe zako mbili au 3 za Mchele wa Kamsamba, unanukia kishenzy. Ukipata na Maharage mapya ya Mbeya itafaa zaidi.

Wakati wenzio wanalalia Chai na Mkate wewe unabaki kuwacheki tu 🤗
 
Back
Top Bottom