Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Kuna story moja nitakupa nitaku tag, umenikumbusha mbali sana.Wa kusoma shule ntakua mie?
Labda nianze memkwa.
Kuna story moja nitakupa nitaku tag, umenikumbusha mbali sana.Wa kusoma shule ntakua mie?
Labda nianze memkwa.
Ipi hiyo?Kuna story moja nitakupa nitaku tag, umenikumbusha mbali sana.
Ndio nilikuwa naanza taratibu, utafanya nisahau point zote.Ndio tumeshaanza maongezi......??
Nitakubonda wewe, halafu niwewe au nani aliyefanya kuna watu wananifatafata kama mkojo kila napoenda. Sina ukoo humu so kila mtu afe kivyake sitaki fatwafatwa nyuma miye.Ewaaaa warembo hao na hata ukiniambia nichague sijui ntam pick nani hapo 😘😘😘 ila wote ni beautiful asee Mungu fundi sema huyu Bantu Lady mkorofi kweli yaani acha tu 😏😒😒😒😒 amenisingizia vingi vya uongo ila Mungu anamuona 😞😔😞
Basi nakuacha kwanza uandike zote usije ukasahau.Ndio nilikuwa naanza taratibu, utafanya nisahau point zote.
😁😁😁😁😁 Usitaniwe na ww eeeehNitakubonda wewe, halafu niwewe au nani aliyefanya kuna watu wananifatafata kama mkojo kila napoenda. Sina ukoo humu so kila mtu afe kivyake sitaki fatwafatwa nyuma miye.
Lala sasa ukue, haya ya kukusingizia tutayaongea mwakani. Kwanza nimekusingizia nini? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I know wala sijapanic. Naanzaje kupanic kwako rafiki wa udongo 😆😆😆😆 Good night...😁😁😁😁😁 Usitaniwe na ww eeeeh
Kupanick kote kwann sasa relax bana mkuu,,,,, jokes tu za hapa na pale 😊😊😊😊.
Kuna nn?Hauwezi jua kwann naku quote ila fresh..
Gud nyt to you unataka ku ni ignore tena mm si unajua michezo yangu humu jf 😜😜I know wala sijapanic. Naanzaje kupanic kwako rafiki wa udongo 😆😆😆😆 Good night...
Sema nina Ignore list ndefu sana....💃
Nakujua na nayekujua nimimi tu siri yangu. Siwezi kuku ignore wewe. Najua nitakuwa natwanga maji kwenye kinu. 😜 thanks ...Gud nyt to you unataka ku ni ignore tena mm si unajua michezo yangu humu jf 😜😜
Acha niishie hapo.
Auntieeeeeee
☺️☺️☺️🤗🤗🤗 Asante auntiiee ulale unono mkuuu 😇Nakujua na nayekujua nimimi tu siri yangu. Siwezi kuku ignore wewe. Najua nitakuwa natwanga maji kwenye kinu. 😜 thanks ...
Nilishasoma na mama anatukulia class 20 years, She had already experienced a full life, alikuwa ana watoto wanatuzidi, sasa nitakupa story ilikuaje akarudi shule na huo umri, ilinifunza kitu kwamba kwenye maisha its not too late to become unachotaka. Ni miaka imepita sasa, aligraduate na alikuwa moja wanafunzi waliofanya vizuri sana. Alituma barua kumualika ex husband wake kwenye graduation yake na juu ya envelope aliandika f__ck you, nitakupa kisa ilikuaje.Ipi hiyo?
Halafu lazima ninywe wine kidogo nijiamini.Basi nakuacha kwanza uandike zote usije ukasahau.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Sponsor uje nitimize ahadi basi. Mjep
Nikutumie mkuuu 😁😁😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Usingizi umeniponza wallah............
Hawa Man U ndo wamenisababishia matatizo yoote haya
Poor me........😭
Poor......😭
Selfika wewe chiefNikutumie mkuuu 😁😁
We mbona hu selfikagi unataka sisi tuselfike anza ww kwanza 😁😁Selfika wewe chief
Huu muda mzuri wa kupita naked
Wamelala wote
Dr. Akiamka nitamuomba arudie
Mimi naselfika sana tuWe mbona hu selfikagi unataka sisi tuselfike anza ww kwanza 😁😁