mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,934
pumbaaav. Mwanaume rijali unakula tambi?? ukiwa unaishi kwa shemeji yako?? 😂Dr Lizzy napika tambi leo maisha ya ubachela sio poa dah si nihamie kwako
pumbaaav. Mwanaume rijali unakula tambi?? ukiwa unaishi kwa shemeji yako?? 😂Dr Lizzy napika tambi leo maisha ya ubachela sio poa dah si nihamie kwako
Ahahaha mimi sikai kwa shemeji bhnapumbaaav. Mwanaume rijali unakula tambi?? ukiwa unaishi kwa shemeji yako?? 😂
mwanaume mzima una hamu?? 😂hivi vi-iphone vinakuharibu....Nakula tambi kwanhamu nimeona mtu ankula nikatamani
Tupo poa kabisa 😜😀😀😀😀 nimefurahi kukuona 😁Nimetingwaaa na weekend auntie 😁!
Mu hali gani humuu??
Shukrani auntie mie pia nafurahi kusikia uko vyedi!! Muwe na Usiku mwema wapendwaaa kesho nayo ni siku☺️Tupo poa kabisa 😜😀😀😀😀 nimefurahi kukuona 😁
Asante sana na ww pia 😀🤗🤗Shukrani auntie mie pia nafurahi kusikia uko vyedi!! Muwe na Usiku mwema wapendwaaa kesho nayo ni siku☺️
Taji hambebi kwani hamjui hilo 😂😂
Kijogooooo...View attachment 2613588nywele mguuni zipo sex zimeniamsha.
Tutalibeba tu bado ligi inaendelea.Taji hambebi kwani hamjui hilo 😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅 Unanivunja mbavu mkuuu sawa tutaona lknTutalibeba tu bado ligi inaendelea.
Guns are foreverrrrrrrr.😅😅😅😅😅😅😅😅 Unanivunja mbavu mkuuu sawa tutaona lkn
🤣🤣🤣Lizy si unifanye kibemten chako tu 😢
Unalala mapema?? Subiri Kwanza kuna jamboShukrani auntie mie pia nafurahi kusikia uko vyedi!! Muwe na Usiku mwema wapendwaaa kesho nayo ni siku![]()
Sijawahi kuona ukila ugali wewe ni tambi na chips 🤔Ahahaha mimi sikai kwa shemeji bhna
Nakula tambi kwanhamu nimeona mtu ankula nikatamani
atakuja kua hopeless huyo kijana watamuibia mke 😂Sijawahi kuona ukila ugali wewe ni tambi na chips 🤔
Shauri yake wenzake wake zao wanagongewa kwa sababu ya hizo mambo 😄atakuja kua hopeless huyo kijana watamuibia mke 😂
Ugali sipendi uongo mbaya sipendi 😂😂Sijawahi kuona ukila ugali wewe ni tambi na chips 🤔
Hakuna mwenye ubavu uhoShauri yake wenzake wake zao wanagongewa kwa sababu ya hizo mambo 😄
jikaze, narudia tena jikaze 😂Ugali sipendi uongo mbaya sipendi 😂😂