Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,487
- 65,822
Ugali chakula cha mifugo si chakula cha binadamu alie kudanganya ugali unafaida kwa mwanaume nani?jikaze, narudia tena jikaze 😂
Ugali chakula cha mifugo si chakula cha binadamu alie kudanganya ugali unafaida kwa mwanaume nani?jikaze, narudia tena jikaze 😂
ugali haunenepeshi haraka..... dogo, tafuta msaada umepoteaUgali chakula cha mifugo si chakula cha binadamu alie kudanganya ugali unafaida kwa mwanaume nani?
Oiiii national anthem nimeskia kafiliwa na wanawe wale mapachaaaShukrani auntie mie pia nafurahi kusikia uko vyedi!! Muwe na Usiku mwema wapendwaaa kesho nayo ni siku![]()
My professional ni health so huwa nazingatia sana mlo sipotei ase ugali nakula ila sio mara kwa maraugali haunenepeshi haraka..... dogo, tafuta msaada umepotea
😋😋😋😋 Tukaribishe basi happo naona unafaidi mwenyewe tu
Soon nahamia kwako
Utalegea mdogo wangu ndo maana kakono kako kwenye selfie yako ya jana kam cha mtoto 🤣🤣🤣Ugali sipendi uongo mbaya sipendi 😂😂
SaaNjoo usaidie saidie kazi. 🙂
Ila mbona hiyo tambi nyingi sana?????
unajua kazi ya mswaki?? 😂Unajuwa kuwa wali maharagwe unasababisha kunuka mdomo?
Kama shoo zako mbovu utagongewa sanaHakuna mwenye ubavu uho
Unataka kusema nimekonda?Utalegea mdogo wangu ndo maana kakono kako kwenye selfie yako ya jana kam cha mtoto 🤣🤣🤣
NAKAZIAUnataka kusema nimekonda?
Ata ukipigwa mswaki ujue kuwa teyari mdomo umekumbwa na ugomjwa uhounajua kazi ya mswaki?? 😂
Ahahaah ni mwili wangu bhna mkuu acha izoNAKAZIA
Na nyie simnafaidi huko kwenu??🤓😋😋😋😋 Tukaribishe basi happo naona unafaidi mwenyewe tu
utachapiwa sana.... tambi??Ata ukipigwa mswaki ujue kuwa teyari mdomo umekumbwa na ugomjwa uho
Usipende kula chakula
Cha wanga na protini
Mzee sijawai chapiwa mnajidanganya sana aseutachapiwa sana.... tambi??