Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Mhuuu.....Dada samahani naomba nikuulize, samahani lakini..
Mhuuu.....Dada samahani naomba nikuulize, samahani lakini..
hii kitu ni🔥🔥
Ah, swali lishanipotea, ngoja nikikumbuka, by the way unavutia sana.Mhuuu.....
Kuna ile stage ya kuanza kutoa siri zako umeiruka mkuu
hiyo iko sambamba na stage ya kumfukuza boss kazi 😂Kuna ile stage ya kuanza kutoa siri zako umeiruka mkuu
Hatari sana.hiyo iko sambamba na stage ya kumfukuza boss kazi 😂
Dada habari?View attachment 2613275Happy Sunday to y'all 😍❤️
Salama, za kwako?Dada habari?
Mie mzima, nimekuona umesimama hapa nyuma ya gari hii premio, nikaona nisogeze miguu nikupe 'hi', naitwa Post M-alone sijui mwenzangu unaitwa nani?Salama, za kwako?
Hahaha kijana unajifunza kutupia vocal hahaMie mzima, nimekuona umesimama hapa nyuma ya gari hii premio, nikaona nisogeze miguu nikupe 'hi', naitwa Post M-alone sijui mwenzangu unaitwa nani?
Namtania tu😆Hahaha kijana unajifunza kutupia vocal haha
By the way umependeza sana, salute.Salama, za kwako?
Amani tu mwambaNamtania tu![]()
Shangazi hilo 🤗🤗🤗
Hebu niache huko, muone 😄😄😄😄😄Antonnia aunt umepoa sana nakusabahi huko uliko 😊😁😁😁😁😁
Pamoja na Bantu Lady mmetusahau kabisa humu 😜😜😜.
Kuna uzima kweli
Nimetingwaaa na weekend auntie 😁!Antonnia aunt umepoa sana nakusabahi huko uliko 😊😁😁😁😁😁
Pamoja na Bantu Lady mmetusahau kabisa humu 😜😜😜.
Kuna uzima kweli