YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
π π π π π π Mmh sio kama ww aseeNa nyie simnafaidi huko kwenu??π€
π π π π π π Mmh sio kama ww aseeNa nyie simnafaidi huko kwenu??π€
1. unanyonya lipsMzee wa kupambania angalia vizur uhu ni mwli wangu sijakonda bhna uzito 75
That beemer.π
Lini umeniona na nyinyonya lips toa iyo kabisa1. unanyonya lips
2. una aifoni
3. unashindia tambi
4. hupendi ugali, wali maharage
5. unataka kuseleleshwa na lishangazi...
BADILIKA.
Hayo ni yangu, labda aje Mzee wa kupambania aongezee π
kama una aifoni automatically unanyonya lips πLini umeniona na nyinyonya lips toa iyo kabisa
Ahaha acha ujinga basi kwani kuwa na iphone na shida ganikama una aifoni automatically unanyonya lips π
unapiga piga picha kwani we ni mwanamke πAhaha acha ujinga basi kwani kuwa na iphone na shida gani
Ahahah embu acha ujinga nitaselfika kwa hasiraunapiga piga picha kwani we ni mwanamke π
fanya hivo basi πAhahah embu acha ujinga nitaselfika kwa hasira
filter za nini wewe mwanaume??πBe care
Ahahaha acha ubwegefilter za nini wewe mwanaume??π
enewei, ukikua utaacha πAhahaha acha ubwege
Kaenda fotoshuti mwanaume!!filter za nini wewe mwanaume??π
π€£π€£π€£enewei, ukikua utaacha π
Mbona cheni fambaBe care
Johnnie Walker hapa unajiteteaje??Kaenda fotoshuti mwanaume!!
Ahaahhah kwani kuna ubaya ππMbona cheni famba
Kwanini sasaAhaahhah kwani kuna ubaya ππ