Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Shangazi mtu 🤣🤣Biurifoo 😍
Siku ukiwa na afro kubwa kama hilo nakupeleka saloon bill kwangu
Shangazi mtu 🤣🤣Biurifoo 😍
😂😂 Dogo sio mzima wewe
Sasaiv na ignore list ndefu sanaWanatafuta umaarufu, badala waende TikTok wanakuja huku...
Niliambiwa na kaka Jack PalladinoMwambie atuambie vizuri nani alimwambia huku sisi ni wazee ili hali hatujui 😂😂😂
Itel don’t copy n paste 🤣Selfika na #voda#
*104*956244494547395#
Umeishiwa watu wa kuwapakazia uongo?Niliambiwa na kaka Jack Palladino
Enheeeee wewe passport yako njoo uchukue j3 😄Emoj kubwa kubwa muhimu 😂😂
View attachment 2612092
Abeeee kaka Raraa 😆Depal Depal Depal nimekuita mara tatu 😋😘
Naomba nizilipie hizo dimpos....
Apps IPO Kaka.....Jf imebarikiwa warembo, hii short natural curly hair huwa inanipagawishaga sana. Oya raraa reree imeifika wakati tubuni app ya kuondoa hizi emojis tuwafaidi hawa warembo![]()
Umekata sana we chaliii
@Kapachino huyu ndio Depay mwenyeweUfike na huku. Sio kila siku siasani Stroke View attachment 2612004
Au bas maana pumzi imenibana mpaka siku nyingine 😗Abeeee kaka Raraa 😆
Nachokoza mizimu ya kichaga 😂😂Umeishiwa watu wa kuwapakazia uongo?
Utafagilishwa K’Njaro nzima 😂 jichanganyeNachokoza mizimu ya kichaga 😂😂
Hiyo itatusaidia sana sisi wapenzi watazamaji 😅Apps IPO Kaka.....
Mwanaume unatumia simu za wanawake #aifonOhhh
sina nyingine mi sio photogenic😂hiyo yenyewe ya zamani na nilipiga kwa kubembelezwa.....Umekata sana we chaliii
Irudie 🥰