Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,845
Na atafute hela pia ili amiliki pisi kama hizoMali ya kaka yako hiyo, wewe maliza shule kwanza
Na atafute hela pia ili amiliki pisi kama hizoMali ya kaka yako hiyo, wewe maliza shule kwanza
Nakazia, tatizo huyu dogo hajajua maisha yakojeNa atafute hela pia ili amiliki pisi kama hizo
Halotel ilipanda elf 2 hapa wajanja wameiwahiSisi wa halotel imetupita hiyo 😁😁😁
Kijana anataka pisi kali eeh🤔
Gharama ni kitu gani ili tuanze?!![]()
Halotel ilipanda elf 2 hapa wajanja wameiwahi
Lkn usibanduke tu
Ila usisahau kuselfika mkuu
We mtoto unanifanya nisikie kizunguzunguUfike na huku. Sio kila siku siasani Stroke View attachment 2612004
Kinyume na hapo ni ubatili! 😁Nasemaje ugali kidogo mboga nyingi 😀
Jf imebarikiwa warembo, hii short natural curly hair huwa inanipagawishaga sana. Oya raraa reree imeifika wakati tubuni app ya kuondoa hizi emojis tuwafaidi hawa warembo 😍Wanorth Korea tusipo weka rasta OG basi tunanyoa 😂😂
View attachment 2612023
Ndio ila nakusubiri wewe uje uwapenkingine mwaangalie vizuriHivi hao mbwa Johnnie Walker wanapata chakula cha kushiba?
Nipikie tu DrDollar 70 tu kwa lisaa.![]()
Ewaah! Asante kwa kukazia hili 😄👍
Ni vema zaidi tukitafuta pesa ili tuwakabili huku mitaani...Jf imebarikiwa warembo, hii short natural curly hair huwa inanipagawishaga sana. Oya raraa reree imeifika wakati tubuni app ya kuondoa hizi emojis tuwafaidi hawa warembo![]()
Mbwa anaonekana ana mawazo sana 😆Ndio ila nakusubiri wewe uje uwapenkingine mwaangalie vizuri
Ndio napasua kichwa hapa 😆Jf imebarikiwa warembo, hii short natural curly hair huwa inanipagawishaga sana. Oya raraa reree imeifika wakati tubuni app ya kuondoa hizi emojis tuwafaidi hawa warembo 😍
Nimpe hela mwanamke yeye ananipa nini?
Kibunda acha tukitafute aiseeh!Ni vema zaidi tukitafuta pesa ili tuwakabili huku mitaani...
Hahaaha kuliko boss wakeMbwa anaonekana ana mawazo sana 😆
Dogo unapiga picha nyumba ya shemeji yakoNdio ila nakusubiri wewe uje uwapenkingine mwaangalie vizuri
