Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
😂 siitakiEnheeeee wewe passport yako njoo uchukue j3 😄
😂 siitakiEnheeeee wewe passport yako njoo uchukue j3 😄
Piga hapo sahivisina nyingine mi sio photogenic😂hiyo yenyewe ya zamani na nilipiga kwa kubembelezwa.....
Hili shati si ndo ulivaa siku ile uliyotublesi ukiwa kanisani? 😄😄😄Ohhh
hustler kwenye ubora wakeOhhh
Kumbe wewe ni handsome 🤗🤗🤗Ohhh
😘😘😘Ujege na huku uwe unaosha macho na kuchukua vizungu zungu 😂
Ahahah kabisa kakahustler kwenye ubora wake
Karibu 😂Naomba nizilipie hizo dimpos....
Siyo bhna ile ya ni ya draft 😂🤗Hili shati si ndo ulivaa siku ile uliyotublesi ukiwa kanisani? 😄😄😄
na shati lako la tomato 😂Ahahah kabisa kaka
Emu selfika naweAu bas maana pumzi imenibana mpaka siku nyingine 😗
Dah nitumie simu gani sasa 😂😂😂Mwanaume unatumia simu za wanawake #aifon
Na hana maishaKijana anataka pisi kali eeh🤔
Ahahahaha la shulena shati lako la tomato 😂
Ndio kaka mkubwaKijana anataka pisi kali eeh🤔
Haya mdogo wangu usikonde nilikuwa najaribu nikuone, kupendeza unapendeza sasa tafuta hela ung'oe hizi pisi za jf ðŸ¤ðŸ˜€Siyo bhna ile ya ni ya draft 😂🤗
Kama dent wa seko au primary 😀na shati lako la tomato 😂
Itabidi uje uchukue 📸 😉Emu selfika nawe
Tecno pop 2Dah nitumie simu gani sasa 😂😂😂
Ndio nimekuja hivyo. IwekeItabidi uje uchukue 📸 😉