mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
Kweli mzee wangu humu mtaani nawaona wengi, wako peace sana wananiambia tu nikipata hela nieatafute....Kibunda acha tukitafute aiseeh!
Kweli mzee wangu humu mtaani nawaona wengi, wako peace sana wananiambia tu nikipata hela nieatafute....Kibunda acha tukitafute aiseeh!
😀😀😀 na wengine tayari wamekurahisishia kazi sura zao hawajazificha sana na viua 🤭Ndio napasua kichwa hapa 😆
Waaache wazibe tu mara macho mara sikio na viua ua vyao naunganisha tu pics nitawaletea sura nzima mda si mrefu 😄
Boss mwenyewe naona anataka akagongee misosi kwa Dr Lizzy kweli atamlisha mbwa ashibe?🤔Hahaaha kuliko boss wake
Kama Depal ya kwake bado 5% ikamilike maana yeye anaziba macho tu 😄😀😀😀 na wengine tayari wamekurahisishia kazi sura zao hawajazificha sana na viua 🤭
Ahahah ahahah ndio kwashemej raha sanaDogo unapiga picha nyumba ya shemeji yako![]()
Nikupikie tena???🙄Nipikie tu Dr
Ahahaha watashiba kwa chakula cha jiraniBoss mwenyewe naona anataka akagongee misosi kwa Dr Lizzy kweli atamlisha mbwa ashibe?🤔
Bantu Lady yuko ule uzi wa warembo wakali duniani anatupostia warembo bandika bandua ila shida hatoi connection 😢Namsalimia Bantu Lady,kama hayupo mpeni salamu zangu
Lete nyingine kwanza 😄😂😂 kausha
namsubiri hapa hapaBantu Lady yuko ule uzi wa warembo wakali duniani anatupostia warembo bandika bandua ila shida hatoi connection 😢
Atakuja tumhoji vizuri na atublesi maana kitambo sasanamsubiri hapa hapa
Kula maisha kijanaAhahah ahahah ndio kwashemej raha sana
vya bure vitamu sana....Unajua kuna haki za wanyama nitakushtaki nipige hela 😄Ahahaha watashiba kwa chakula cha jirani
Sili vyabure nakula vya shemeji na dada yanguKula maisha kijanavya bure vitamu sana....
vzr, ila mie nataka aniblesi yeye,hahahaAtakuja tumhoji vizuri na atublesi maana kitambo sasa
Daah! Wewe jamaa utainjoi sana hahaavzr, ila mie nataka aniblesi yeye,hahaha
Ujege na huku uwe unaosha macho na kuchukua vizungu zungu 😂We mtoto unanifanya nisikie kizunguzungu
😘😘😘😘😘
😍😍😍😍😍😍😍