mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
gender issues are very very complicated 😂Ubishi au ukweli, tatizo watu hawataki kuambiwa ukweli, wanataka tukubali tu kila kitu
gender issues are very very complicated 😂Ubishi au ukweli, tatizo watu hawataki kuambiwa ukweli, wanataka tukubali tu kila kitu
Ni wachache mkuu wala usitudanganye hapa maana hali halisi tunaijua, siku mkiacha malalamiko ndio tutajua kweli hizo hela za kuhonga mnazo, vinginevyo huwa mnaumia sanaIla wengi wetu huwa tayari tumeweka bajeti kwa hiyo tunachoonga kiko ndani ya bajeti hivyo akina siye haituumizi lengo likiwa limetimia
Ataniua VW tena 😀Jivute vute hata VW nakuwa chawa wako.. si eti Dr Lizzy
Naona pisi kali kwenye kioo hapo 😀On air TBC View attachment 2610765
Vizinga vinauma kama hakupei kwa wakati au shoo mbovu 😀Ni wachache mkuu wala usitudanganye hapa maana hali halisi tunaijua, siku mkiacha malalamiko ndio tutajua kweli hizo hela za kuhonga mnazo, vinginevyo huwa mnaumia sana
Hilo harage limeungwa na nazi nini? 😋
chai ya nini usiku huu?utajikojolea kitandani😆
Yeah! Bila 🥥 hayanogi.Hilo harage limeungwa na nazi nini? 😋
Nimemiss sana huo msosi ndondo la nazi na chapati hasa ikiwa dinnerYeah! Bila 🥥 hayanogi.
🤣🤣🤣🤣chai ya nini usiku huu?utajikojolea kitandani😆
Basi kula kesho ili hamu iishe.🙂Nimemiss sana huo msosi ndondo la nazi na chapati hasa ikiwa dinner
Haiwezekani friday hii unaingiza kokopo mapema hivi🤔🤣🤣🤣🤣
🍵 is to Dr Lizzy , what 🥃 is to Jack Palladino 😉
Ila bora umenikumbusha niingize kakopo kangu ndani.😁
Siunajua tena sie wanywa chai....ratiba zetu ni tofauti na zenu.😀😀Haiwezekani friday hii unaingiza kokopo mapema hivi🤔
Hapana kuna mtu majukumu yake yamemshinda😃Siunajua tena sie wanywa chai....ratiba zetu ni tofauti na zenu.😀😀
😄😄😄Hapana kuna mtu majukumu yake yamemshinda😃
How?🤔😄😄😄
Usimlaumu bure, bado hajajua nilipo.😶🌫️
Nimejificha kidogo 🤓How?🤔
UtaniPM location nije chap!Nimejificha kidogo 🤓