Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tit for tat...lakini hapo anayeumia zaidi ni mwanamke
Kuumia ataumia hata asipochuna kwahiyo bora achune ili walau muumie wote pia naye aambulie chochote kitu, kuliko kuumia yeye peke yake tena bila kitu halafu mwanaume afaidi tu ndio maana wenyewe wanasema bora kulia ndani ya gari kuliko ndani ya bajaji, maana kwa vyovyote vile mwanamke kulia lazima atalia tu hivyo ni yeye tu kuamua ataliaje na atalilia wapi
 
Back
Top Bottom