Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
Embu tupia hiyo ya kurembuaNishavimbiwa hapa narembuaa tu kwa usingizi ☺️
Embu tupia hiyo ya kurembuaNishavimbiwa hapa narembuaa tu kwa usingizi ☺️
Namuona namuona sumbai tena ni jirani kabisa. Siku tutakutana tu 😉Bantu Lady unaitwa huku
🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🤣Embu tupia hiyo ya kurembua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kile kipande cha tishert ya Argentina alichotupiaga ukikiunganisha na hichi mzeee wa hall 5 anaapia live bila chenga!
Aya tunasubiria ya kurembua mnywani🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🤣
Niwaibe nisiwaibe? Sema Tonnia 😄😄😄😄😄Hatare nanusuuuu hioo!!
Rudi hapa....usihame[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji1787]
Mweh hata haipo mnywani!Aya tunasubiria ya kurembua mnywani
Bantu Lady lini unanipeleka hii mitaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah..
Wewe fanya ukuje pande za huku ilipo kwetu pazuri kitambaa cheupe the great 40 40
Alafu nicheek.
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!! Waibe upotee nao mtaa wasabaaaa kwanzaaa😄Niwaibe nisiwaibe? Sema Tonnia 😄😄😄😄😄
Tonnia..Niwaibe nisiwaibe? Sema Tonnia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Si unasinzia sinzia hapo fanya kuji selfie tu mnywaniMweh hata haipo mnywani!
Basi it's only fair nikirudisha na hii #tbtMimi mzungu tu Kama wewe Dr!
Muibwee tyuu hakuna namnaa 🤣🤭Tonnia..
Nawaiba wakaka wazuri hawa, naondoka nao wote. Miye Mkurya kuwa nao wawili haina shida. Msipowaona mje mtaa wa 3, mtanikuta nao 🤣🤣🤣🤣🤣Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!! Waibe upotee nao mtaa wasabaaaa kwanzaaa😄
Huko mtaa wa Saba kutamu saana.Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa!! Waibe upotee nao mtaa wasabaaaa kwanzaaa[emoji1]
Dr Kama DrBasi it's only fair nikirudisha na hii #tbtView attachment 2610218