Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Hahaha we mzee upoNaomba briefing kuna nini?? Nimepitwa
Nimefurahi Sana kuwaona na Bl hapa
Hahaha we mzee upoNaomba briefing kuna nini?? Nimepitwa
Nimehama mtaa wenu. Nimehamia mtaa mwingine Chino...Unapotea Sana mbantu!!
Yani mpaka tonnia unamkondesha!
Msalimieee...Hahaha we mzee upo
Nimefurahi Sana kuwaona na Bl hapa
Mtaa wa Saba??Nimehamia mtaa wa 7![]()
Ndo umeamua kumuhamisha kabisa mtaaa ili nisione vitu vyangu mkuuMsalimieee...
Pole sana Chino, nami nakumiss sana ila ndiyo hivyo nahama makazi 🤣🤣🤣🤣🤣Mateso Sana haya mbantu ujue?
Chino ntaishiji bila wewe aisee
Dr hatupati ya kulalia?I'm just playin bana! 🤓
Ila siku nikianza utapeli humu unifumbie macho.😁
Kwakweli mnywani kama ulijuaa!!Unapotea Sana mbantu!!
Yani mpaka tonnia unamkondesha!
Huku hakunaga ku left!Pole sana Chino, nami nakumiss sana ila ndiyo hivyo nahama makazi 🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe ni wa tatu toka hapa 🙄🙄🙄🙄Mtaa wa Saba??
Afu ndo anataka kupotea mazima mnywaniKwakweli mnywani kama ulijuaa!!
Anza wewe...Dr hatupati ya kulalia?
Tunahama mnywanii akee 😄😄!Afu ndo anataka kupotea mazima mnywani
Wewe si ndiyo mwenye mtaa? Utahamaje sasa 🤣🤣🤣🤣🤣 hapa ndiyo kwako, hakuna kuhama hiyo.Mi mwenyewe nahamaaa mtaa msintanieeee 😄😄😄☺️!
Wewe utafatwa huko huko...! We unahamia mtaa wa ngapi??Mi mwenyewe nahamaaa mtaa msintanieeee!
Yanii nishavimbiwajee hapaa tumboo tumbo juu juu 😄😄😄!Unalala?? Utakosa blessing