Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Haha okay we si ni director unafanya kazi na MC (kifupisho), niendelee?Embu ni-expose kidogo![]()


Haha okay we si ni director unafanya kazi na MC (kifupisho), niendelee?Embu ni-expose kidogo![]()


Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupuUkimtongoza tu mrembo wa siku hizi hapohapo nywele zinafumuka, gesi inaisha, mara hajala msururu wa shida tupu![]()
Nunueni tu, simtaenda kula lunch & dinner ghetto. 😆😆Ukimtongoza tu mrembo wa siku hizi hapohapo nywele zinafumuka, gesi inaisha, mara hajala msururu wa shida tupu 😀😀😀
sasa hii kutegeana itaisha lini.... if you wanna win, play the game 😂Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupu
Haha okay we si ni director unafanya kazi na MC (kifupisho), niendelee?![]()
Nipoo mjomba nilikua nacheki wananchi wakitembeza kichapo!Simuoni malaika aunty wangu Antonnia na Bantu Lady mwenyewe
Nime ku miss sanaaaaa aunt wangu hadi naumwaaaa homa 😊😊😊Nipoo mjomba nilikua nacheki wananchi wakitwmbeza kichapo!
Kwa hiyo mnafanya hivyo kuwakomoa wadau wa hit and run?😀Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupu
Miss you Much more mjombaa! Do the needful jioni yangu iishe vizuri mjombaa!Nime ku miss sanaaaaa aunt wangu hadi naumwaaaa homa 😊😊😊
Hakika kuna vitu vimewaunganisha kama undugu, watoto, mali, hawataki kuharibu heshima waliyojiwekea kwenye jamiikweli kabisa mapenzi ya kweli hayapo.... hao walioishi kwenye ndoa miaka mingi sidhani kama ni mapenzi tu ndo yamewaunganisha.... love is not enough
Keshooo mida kamaaa hiii aunty wangu kipenzi nikupendae 😊Miss you Much more mjombaa! Do the needful jioni yangu iishe vizuri mjombaa!
Ukijitoa utashangaa baada ya siku kadhaa anakurudia na kameseji "babe mambo miss u"Pesa ya kukidhi basic needs na kausafiri na luxuries kidogo ndo muhimu , hayo mengine extra . Halafu wengine wanawapiga vizinga ili mchomoe
Haina nomaa mjomba akee lemme wait hio tomorrow!!Keshooo mida kamaaa hiii aunty wangu kipenzi nikupendae 😊
ndio, na pia mi naona love is just a hormonal reaction 😂 kinachofanya mapenzi ya dumu ni vitu kama kuheshimiana, mipaka, kuaminiana, kusikilizana, na kuwa muwazi....Hakika kuna vitu vimewaunganisha kama undugu, watoto, mali, hawataki kuharibu heshima waliyojiwekea kwenye jamii
🥰😍😘🤗🤗🤗🤗Haina nomaa mjomba akee lemme wait hio tomorrow!!
Unamfariji tu , Sema kuna wanaume wanajua kutoa aisee , wabarikiwe , toeni tu jamani .Ukijitoa utashangaa baada ya siku kadhaa anakurudia na kameseji "babe mambo miss u"
Unaniita mimi boss 😆 au nimekosea kusoma hicho cheo sina toka nazaliwa 😆
kumbuka hela ya mwanamume haiendagi bureUnamfariji tu , Sema kuna wanaume wanajua kutoa aisee , wabarikiwe , toeni tu jamani .
Ni maarufu ndio saaana tu ila kwa mzigo alioshusha leo imebidi binafsi nimpatie 👑 yake 😄Kwani haumfahamu Dr Lizzy mbona Ni maarufu kiasi![]()