Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Warembo wa siku hizi bila pesa hauwapati. Yaani ungekuwa mwanamume ungejionea
Inategemea wapi, nani & kwanini. Mara nyingi nyie wenyewe ndio mnafurahia/sababisha iwe hivyo kwakulazimisha mahusiano na watu ambao wamekaa kimaslahi zaidi.

I mean, kama mtu ana kazi/biashara yake inayomfanya aweze kumudu maisha (kodi/chakula/mavazi/mitoko ya hapa na pale) unadhani kitu cha kwanza kuangalia kwa mwanaume itakuwa 💰 kweli???
 
Usikute mnaenda kwa wanawake classic hao . Ashazoea kuspend yeye , lazima atake pesa .
Vizinga vinatofautina lakini kikweli kwa sasa bila pesa ni ngumu. Utakuta mwanamume anaulizwa unafanya kazi gani/wapi? Au utasikia kwani wewe kibarua wapi? Wasio na aibu wanauliza hadi mshahara. Yote hiyo ni kutaka kukadiria kipato chako
 
kama mtu ana kazi/biashara yake inayomfanya aweze kumudu maisha (kodi/chakula/mavazi/mitoko ya hapa na pale) unadhani kitu cha kwanza kuangalia kwa mwanaume itakuwa 💰 kweli???
Mfano mzuri humu jf wanawake wanasemaga wazi kuwa mwanamume asipokuwa na pesa hapana. Mnadai pesa za mwanamume tamu
 
Vizinga vinatofautina lakini kikweli kwa sasa bila pesa ni ngumu. Utakuta mwanamume anaulizwa unafanya kazi gani/wapi? Au utasikia kwani wewe kibarua wapi? Wasio na aibu wanauliza hadi mshahara. Yote hiyo ni kutaka kukadiria kipato chako
Hao ni pisi kali aisee , kipato cha nini jamani , vizuri vina gharama hivyo wahudumieni tu , mle mema ya nchi
 
Back
Top Bottom