Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

a87573ca4d353bd793222d4162674c49.jpg
 
Vizinga vinatofautina lakini kikweli kwa sasa bila pesa ni ngumu. Utakuta mwanamume anaulizwa unafanya kazi gani/wapi? Au utasikia kwani wewe kibarua wapi? Wasio na aibu wanauliza hadi mshahara. Yote hiyo ni kutaka kukadiria kipato chako
Pesa ya kukidhi basic needs na kausafiri na luxuries kidogo ndo muhimu , hayo mengine extra . Halafu wengine wanawapiga vizinga ili mchomoe
 
Back
Top Bottom