Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hivyo vina oda vyote . Wajua kushona na nguo ?Hamna
Mdogo mdogo tu kinaisha.
Mchawi ni muda tu.
Hivyo vina oda vyote . Wajua kushona na nguo ?Hamna
Mdogo mdogo tu kinaisha.
Mchawi ni muda tu.
Kiasi chakeHivyo vina oda vyote . Wajua kushona na nguo ?
😅😅😅😅Uzuri mwanangu Wigelekelo hajaniangusha; kanifungashia ichi kifurushi toka lubumbashi Asante Sana chief wige.
View attachment 2607642
Hana hela, nime mtupaaa kuleeeMwambie akutumie hela kabla ya kazi tukanywe ☕️ 😃
Upo vizuri dear si ufungu tu frame uwe unashona na hvyo door mat , uwakala , na cake pia na juice plus soft drinkKiasi chake
Si sana
Sitaki kupitwa na chochote
Nikipata mtaji wa kutosha nitafunguaUpo vizuri dear si ufungu tu frame uwe unashona na hvyo door mat , uwakala , na cake pia na juice plus soft drink
Nikawa najiuliza hili jina kama mitishamba ni nani huyu?
Mungu akufungulie njia , upate mtaji kila la kheri . Kazi zishakuwa hadithiNikipata mtaji wa kutosha nitafungua
Bila kaziMungu akufungulie njia , upate mtaji kila la kheri . Kazi zishakuwa hadithi

Chanzo chochote tu kuna wazazi , ndugu , rafiki na mtu special yaani mchumba wake .Bila kazi
Huo mtaji ataupataje
Ama ana chanzo kingine![]()
Oh mchumbaChanzo chochote tu kuna wazazi , ndugu , rafiki na mtu special yaani mchumba wake .
Imagine ana baby wake mmoja tu .. Hapo hakuna kuumia , ni kuenjoy tu lolOh mchumba
Ndio chanzo kingine?!
Kwamba naniliu iumie
Mtaji upatikane?!
hujamboEmbu niache huko
KumbeeImagine ana baby wake mmoja tu .. Hapo hakuna kuumia , ni kuenjoy tu lol
Mambo cheupehujambo
Inaanzaje kuuma jamani na unampenda huyo mtu . Maumivu si kitu kwa mapenzi .Kumbee
Haiumagi eeh
Akiwa mmoja?!