Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20230504_095334_Muzio Player.jpg
 
Nimetingwa kidogo mnywanii ila nipoo!
Nimewamiss sana wapendwa!! Ukimuona Mamaa la mama mwambie nimemmiss hadi naumwaaa!! Fanyeni kunibless wapendwaaa kitambo sana!
Nyie posho zenu za mei moss mmezipata!!

Kina wige uko mbeya naona walikimbiwa.

Bantu Lady au yupo safarini kwenda mallumo gallants! I miss her too.
 
Back
Top Bottom