Unataka kunigombanisha na nani mkuu?Watu gani wako hivyo 🫣🫣
Unataka kunigombanisha na nani mkuu?Watu gani wako hivyo 🫣🫣
Waha 😅😅Unataka kunigombanisha na nani mkuu?
Mwamba mwenyewe huyooo… Mbona simuoni Depal ubavuni pako
😅😅😅 nae apige tumuone mpiga picha ndani ya ka bikini sijui lingeriaDada wa Madada.. Admin wa Group.. Mmiliki wa iPhone 14 Ukoo mzima ndio mpiga picha 😁😁
Mwambie akutumie hela kabla ya kazi tukanywe ☕️ 😃Naniii kanifata Pm anaomba nimtoleeee emoj 🤭🤭
Uzuri mwanangu Wigelekelo hajaniangusha; kanifungashia ichi kifurushi toka lubumbashi Asante Sana chief wige.Sema mzee matoto ya ziwani kama una engine ndogo lazima uchane mkekaaa… bila dk 60 ni kama unachezaaa 🤣🤣🤣🤣
Pamoja sana kakaUzuri mwanangu Wigelekelo hajaniangusha; kanifungashia ichi kifurushi toka lubumbashi Asante Sana chief wige.
View attachment 2607642

Aisee fanya this week utimbe mkuuDuuh nina muda sijatimba church![]()
Ila sio mbaya![]()
Ngoja niutafute niangalie.Hallo mbinguni by Agape gospel band . Saint Anne huwa unapenda sebene la Yesu ?
Mzuri sana , tumeimba juzi kanisani .. Yeah ndo raha ya sebene hiyo unacheza full kujiachia .Ngoja niutafute niangalie.
..sebene huwa inanoga sana ukiwa hapo hapo live unaimba na kucheza.
Vibe kama lote.Mzuri sana , tumeimba juzi kanisani .. Yeah ndo raha ya sebene hiyo unacheza full kujiachia .
Hata nyumbani inanoga ujue , unaweza ukajiachia mwenyewe . Naona kanisani mnakuwa na vibe la kutosha ni mwendo wa kucheza tuNgoja niutafute niangalie.
..sebene huwa inanoga sana ukiwa hapo hapo live unaimba na kucheza.
Nyumbani napenda nyimbo zenye utulivuHata nyumbani inanoga ujue , unaweza ukajiachia mwenyewe . Naona kanisani mnakuwa na vibe la kutosha ni mwendo wa kucheza tu
Mie napenda makelele , wana bahati sishindi , ningekuwa nawasha kiradio hadi mwisho .Nyumbani napenda nyimbo zenye utulivu
Hasa tenzi.